• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JWTZ WAFANYA OPARESHENI USAFI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA MONDULI.

Posted on: July 25th, 2018

 Jeshi la wananchi Tanzania -JWTZ wa shule ya mizinga (School Of Artillery) - SOFA katika kuazimisha siku ya mashujaa Tanzania leo tarehe 25/07/2018, wamefanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Monduli. Wanajeshi hao wakiongozwa na Mkuu wa shule hiyo wamefanya usafi katika maeneo yote ya ya hospitali hasa katika eneo la kuzunguka wodi za wagonjwa. Kazi zilizofanyika ni pamoja na  kufyeka nyasi ndefu, kutengenezea bustani za maua, kuchoma taka na kuchimba mashimo ya taka.


Mkuu wa SOFA kanali Mosses Gambos alisema kuwa wao wameamua kufanya uzalendo kwani jeshi ni sehemu ya jamii na ni jeshi la wanachi, pia kwa upande mwingine ni wajibu wao kufanya shughuli za kijamii wakati wa amani. Pia Gambos ametoa wito kwa wananchi wengine kujitolea kufanya shughuli za kijamii kama wao waliyojitolea.

Mganga Mkuu wa wilaya ya Monduli Dr. Titus Mmasi wakati akitoa pongezi na shukrani amesema, anashukuru kwani si mara ya kwanza kwa wanajeshi hao kufanya kazi hiyo ambayo wadau wengine ni mara chache kuifanya. Pia katika kuchangia damu na kwenye kampeni za matibabu wamekuwa mstari wa mbele kujitolea na kuhamasisha.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI September 30, 2017
  • MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA MOITA November 30, 2017
  • TANGAZO LA KAZI (NAFASI ZA UDEREVA)-MARUDIO June 08, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU 3 ZAONGEZWA KWA AJILI YA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA

    October 15, 2019
  • MACHINJIO YA KISASA YAZINDULIWA MONDULI

    January 03, 2019
  • WARATIBU ELIMU KATA WAPATA PIKIPIKI MPYA - MONDULI

    October 11, 2018
  • JINSI ‘KALANGA’ ALIVYOPATA UBUNGE WA JIMBO LA MONDULI

    September 17, 2018
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

WANAWAKE WANUFAIKA NA MAMILIONI YA FEDHA KUTOKA HALMASHAURI- MONDULI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli