Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Bi.Happiness R. Laizer amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuleta programu ambayo ni ya Madaktari Bigwa wa Rais Saima iliyoko chini ya wizara ya afya kwa kuona kuwa Monduli Kuna uhitaji wa madaktari hao ambaopo wamehudumia jumla ya wagojwa (400) na kufanya upasuaji kwa wagojwa (20).
Ametoa Shukrani za dhati kwa Serikali ya awamu ya sita kwa kuleta fedha kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo Monduli hasa Sekta ya afya ikiwemo ujenzi wa jengo la OPD, Upasuaji,Jengo la kufulia pamoja na vifaa tiba.
Monduli District Council
Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli
Namba ya simu: +255 - 27- 2538006
simu ya mkononi:
Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz
Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli