• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIKUNDI VINAVYOPEWA MIKOPO VISIWE CHECHEFU

Posted on: December 5th, 2025

Hakikisheni vikundi vinavyopatikana kwaajili ya kupewa mikopo, visiwe vikundi chechefu kwa kuwa havina tija na baadae vinatuletea usumbufu katika kurejesha Fedha; hivyo simamieni vikundi hivyo ili kupata vikundi vyenye tija kwa kuhakikisha vinapitia kila hatua stahiki Kabla ya kupewa mikopo hiyo. 

Hayo yamesemwa leo Desemba 5, 2025 na Ndg. Muhksin Kassim Katibu Tawala wa Wilaya ya Monduli, wakati akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilayani humo ambao ndio kundi muhimu katika suala la usimamizi na ufuatiliaji wa vikundi vinavyostahili kupewa mikopo kwa makundi ya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu hasa kwa kipindi hiki cha siku 100 tangu Mhe. Rais ameingia madarakani ili panapofika Tathmini ya suala la utoaji mikopo; Halmashauri hiyo iweze kufanya vizuri kwa kuwa karibu na wananchi, kusikiliza na kutatua changamoto zao.\n\nAidha Ndg.Muhksin Kassim amewataka  maafisa Maendeleo ya Jamii hao, kuhakikisha vikundi hivyo havisambaratiki lakini pia wavifahamu; si tu kujua idadi ya vikundi hivyo, bali pia kufahamu Vilipo na shughuli zinazofanyika kwa kila kikundi kwani kwa kufanya vizuri wao, hata Serikali inapata sifa na kinyume chake Serikali inalaumiwa.

Naye Bi.Happiness R. Laizer Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo,  amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuwahi kazini, kufuata taratibu, Sheria na Kanuni za serikali na kwamba kundi la Maafisa hao ni muhimu sana katika mchakato wa utoaji wa mkopo kwa vikundi vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu.

Sambamba na hayo ameishukuru serikali kwa kuipatia halmashauri hiyo maafisa maendeleo ya jamii( ajira mpya) na kuongeza idadi yao katika kata na kuwataka kutoa ushirikiano kwa Timu ya utoaji mikopo wakati wa ukaguzi ili kusiwe na malalamiko.\n\nKwa upande wake Bi.Lidya Mauki ambaye ni Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Monduli amewaeleza Maafisa Maendeleo ya Jamii kuwa uadilifu ni nguzo muhimu katika kuzuia vitendo vya rushwa hivyo wanao wajibu wa kuwaelimisha wananchi juu ya vitendo vya rushwa na kuepuka kuwa sababu ya kuwafanya wananchi kuichukia Serikali.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BIMA YA AFYA KWA WOTE MONDULI TUMEFIKIWA.

    January 19, 2026
  • VIKUNDI VINAVYOPEWA MIKOPO VISIWE CHECHEFU

    December 05, 2025
  • DC GLORIANA ASIKILIZA NA KUTATUA KERO NA CHANGAMOTO ZA KATA YA SEPEKO

    November 19, 2025
  • MWENYEKITI KIJIJI CHA MIGOMBANI KATA YA MAJENGO ARUDISHWA MADARAKANI

    November 18, 2025
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

WATUMISHI MONDULI WASISITIZWA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA NA UFANISI KAZINI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal
  • Tanzania Safari Channel

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Toto Togel
  • AXL777
  • AERO88
  • AXL777
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto Online
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88