• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Monduli District Council
Monduli District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Malengo
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Eneo la Utawala
      • Tarafa
      • Kata
      • Vijiji
    • Idara
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Idara ya Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwezekaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
      • Onana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelezwa
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria ndogo
    • Mipango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI MONDULI WAAGIZWA KUHAMASISHA NA KUKUSANYA MICHANGO KWA WANANCHI KWAJILI YA UKARABATI/UJENZI WA MIUNDO MBINU YA SHULE ZA SEKONDARI

Posted on: October 6th, 2021

Viongozi wa kata na vijiji wameagizwa kuhakikisha wanahamasisha,wanakusanya na kusimamia fedha za wananchi wanazozichanga ili zitumike kuboresha miundombinu za shule za sekondari  katika wilaya ya monduli.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wiliya ya monduli Mh. Frank Mwaisumbe akifungua kikao kazi kilicho wakutanisha viongozi mbali mbali wa halmashauri ya wilaya ya monduli kilichofanyika leo 05/10/2021 chenye lengo la kujadili na kuweka mikakati ya ukusanyaji wa michango ya uboreshaji wa miundombinu ya elimu sekondari.

Amesema Monduli ni miongoni mwa wiliya zenye changamoto ya miundo mbinu ya elimu nchini kutokana na monduli kuwa wilaya ya kwanza kuundwa Afrika  Mashariki na kati na hivyo baadhi ya Miundo mbinu imechakaa kutokana na kujengwa muda mrefu.

Mwaisumbe amewaagiza viongozi hao kuwa wanapo kusanya fedha hizo ni lazima kila kiongozi akatoe mchanganuo wa matumizi ya fedha hizo kwa wanachi na kuhakikisha wanajibu maswali ya wananchi wanapo hoji juu ya michango hiyo.

Hata hivyo amesema kuna haja kutengeneza karakana ya halmashauri itakayo tumika kutengeneza madawati pamoja na vitanda ili kupunguza gharama zinazo tumika kutengeneza miundombinu hizo na kurahisisha upatikanaji wake kwa wakati.

Kwa upande wake mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Mhe. Isack Copriano ambaye amekiongoza kikao Kazi hicho amesema ili kufikia malengo waliyojiwekea na waliyo wekewa na serikali ni lazima kila mwananachi mwenye sifa atoe mchango huo kwa wakati na kusisitiza kuwa michango hiyo ni lazima kwa kila mmoja na siyo hiyari.

Amesema michango hiyo siyo kwajili ya kunufaisha wafanyakazi wa serikali bali ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu na pia ni kuhakikisha kizazi cha wilaya ya monduli kinapata elimu katika mazingira bora na salama.

Aidha ameunda timu maalum itakayo pitia katika kila kata wilayani monduli na ambayo itakuwa na jukumu maalumu la kuhamasisha na kutoa ufafanuzi juu ya michango hiyo na timu hiyo itaanza kazi katika kata ya engaruka.

Naye Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya monduli  Mhe. Raphael Siumbu amewaagiza viongozi wa kata kufanya kazi kwa kuzingatia mpango kazi na kila mmoja afanye majukumu yake kwa kufuata sheria kanuni na taratibu na kuzingatia ushirikiano ili kufikia malengo ya pamoja.

Katika hatua nyingine ametoa zawadi kwa kuwapongeza baadhi ya watendaji walio fanya vizuri katika ukusanyaji wa michango hiyo ya ujenzi wa miundo mbinu ya shule na kuwaagiza wengine kuwatumia kama mfano. 

Kikao hicho kimeudhuriwa na viongozi mbali mbali wakiwemo Maafisa tarafa, madiwani,watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeviti wa vijiji ambao mpaka kikao kinafungwa  viongozi hao wamesema wamepokea na kukubali maagizo hayo na kuahidi kuwa watayatekeleza kama walivyo agizwa na kwa wakati ambapo siku ya mwisho ya kutoa mchango huo imependekezwa kuwa tarehe 30.11.2021 

Imeandikwa na Kuchapishwa na

Obed Emmanuel

Ofisi ya TEHAMA Halmashauri ya Monduli


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • NAFASI ZA KAZI ZA ANWANI ZA MAKAZI February 22, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA KAZI YA ANUWANI ZA MAKAZI March 24, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC NASARI ASHAURI WAZAZI KUBORESHA MALEZI KWA WATOTO

    March 24, 2023
  • MKUU WA WILAYA ALISHAURI JESHI LA AKIBA KUACHA KUCHAGUA KAZI

    March 22, 2023
  • SIKU YA MISITU DUNIANI

    March 21, 2023
  • MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU KATIKA UWANJA WA BARAFU,MTO WA MBU

    June 15, 2022
  • Angalia zote

Maktaba ya Video

WANAWAKE WANUFAIKA NA MAMILIONI YA FEDHA KUTOKA HALMASHAURI- MONDULI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • EDWARD MORINGE SOKOINE
  • TAARIFA YA UPANDAJI MITI
  • Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
  • Mto Wa Mbu - Monduli ilivyonufaika na Tsh. Milion 400

Viunganishi linganifu

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Tovuti ya ajira ya Serikali
  • Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora
  • salary slip portal

Waliotembelea Kiulimwengu

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Monduli District Council

    Sanduku la Posta: P.O BOX 1 Monduli

    Namba ya simu: +255 - 27- 2538006

    simu ya mkononi:

    Barua Pepe: ded@mondulidc.go.tz

Mawsilano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Malalamiko
    • ramani ya eneo
    • Huduma zetu

Hatimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Monduli