Posted on: January 19th, 2026
Kuna faida nyingi anazopata Mwananchi aliyejiunga na mfuko wa BIMA ya Afya kwa wote, ikiwemo kupata huduma mahali popote nchini kuanzia ngazi ya zahanati, vituo vya Afya, hospitali ya Wilaya na hospit...
Posted on: December 5th, 2025
Hakikisheni vikundi vinavyopatikana kwaajili ya kupewa mikopo, visiwe vikundi chechefu kwa kuwa havina tija na baadae vinatuletea usumbufu katika kurejesha Fedha; hivyo simamieni vikundi hivyo ili kup...
Posted on: November 19th, 2025
Naamini sisi kama Viongozi vijana tuna malengo ya kufika mbali endapo tutawajibika kwa nafasi tulizo aminiwa. Hivyo ninaelekeza Wenyeviti wa Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji wote kuweni karibu na Wana...