Posted on: May 27th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Paul makonda amewasili wilayani Monduli leo tayari kuendelea na Ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Mkuu ...
Posted on: May 21st, 2024
Kikao hicho kimejadili utekelezaji wa shughuli za lishe ambazo zimetekelezwa na wakuu wa idara kutoka kila idara na watendaji wa kata.
Ambapo halmashauri ya Wilaya ya Monduli imeweza kutek...
Posted on: May 17th, 2024
Naibu katibu mkuu Dkt. Charles Msonde kutoka ofisi ya Rais Tamisemi amefanya ziara wilayani Monduli kwa lengo la kuzungumza na walimu wa Wilaya ya Monduli kwaajili ya kutoa majibu ya changamoto mbalim...